Hawavumi Lakini wamo

Hawavumi Lakini wamo

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....je
wanawake wa tanzania mnatamani kuwa na ubavu kama hili kabila la kenya?wanaume mnasemaje kama hali kama hii ingekuwa na tanzania?

10616079_631547450298368_3721719421657656831_n.jpg
 
Naomba wanajamvi mnishike nitauwa....! Nina hasira jamani nishikeni nitauwaaa..
 
Aaaagh.... ..... hata kama hiyo ndoa nilifungishwa na papa nitaachananae!
 
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke siku zote za maisha yake!!
 
Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....je
wanawake wa tanzania mnatamani kuwa na ubavu kama hili kabila la kenya?wanaume mnasemaje kama hali kama hii ingekuwa na tanzania?

10616079_631547450298368_3721719421657656831_n.jpg

Nikiwa mdogo kijijini kwetu kulikuwa na Meneja wa Kijiji ambaye alikuwa anakung'utwa na mkewe hadi wasamaria wema wanaingilia kati. Kwetu ilikuwa kama nusu kilometa toka kwa huyo Meneja, lakini alikuwa akichapwa na kulia hadi tunasikia tukiwa nyumbani.....Makovu ya huyu jamaa yamenikumbusha sura ya huyo Meneja...Alikuwa na makovu kama kaponea chupchup vitani!!!!
 
Sasa nimegundua kwanini kijiji kilikuwa kinakosa maendeleo.
 
Mimi nisingetaka uhusiano, ningekuwa nanunua tu
 
Ndo maana kuna inchi zengeni zimeruhusu ndoa za kijinsia mmoja ili yasitokee kama haya
 
Ndo maana kuna inchi zengeni zimeruhusu ndoa za kijinsia mmoja ili yasitokee kama haya
Jinsia moja? kama mtu mkorofi hata hao wa jinsia moja watatoana alama.

Utetezi wako kwa hao wa jinsia moja bado
 
Akileta za kuleta unamtoa manundu kama 7000 hivi harudii tena atakua na adabu na kuthamini ndoa, ni kama wanawake wa mkoa wa mara bila kumdunda anaona eti humpendi pengine na hawa wanaume wenzetu wa kenya wanaona bila kudundwa na wake zao hawapendwi
 
Duh!!!! Kama mke wangu ndo kufanya hivi lazima nihakikishe sura zetu zinafanana
 
eti mwanamke....wallahi labda aniwekee sumu nife kabisaa....

mkuu Kabanga, hawa wanawake wa Nyeri si mchezo aise. kama hawezi kukupiga atakuwekea sumu ama akutumie majambazi. bibi wa Rais mstaafu Kibaki was known to beat everyone including mheshimiwa. this isn't a myth, these ladies don't play around.
 
Back
Top Bottom