hawatakua wabunge tena

hawatakua wabunge tena

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
43,242
Reaction score
90,420
..jimbo la Mtama ..lilokua chini ya Mh Membe......atakabiliwa na majukumu ya kifaifa
..Jimbo la Kigoma kaskazini lilokua chini ya mH zitto....anataka kuwa mwalimu wa chuo

NB..wote hawa inasemekana wanataka kugombea urais..ila kwa zitto kdg kuna utata

karibu tujadili...
 
Bange tupu..
a,e,i,o,u..
 
Majukumu ya Kitaifa na mwalimu wa chuo ni urais?
 
Japo dua la kuku huwa halimpati mwewe...na Ndugai naomba asiupate hata ujumbe wa nyumba kumi kwenye uchaguzi ujao.
 
Hakuna cha kujadili, labda kama unataka kuwapigia debe...
 
..jimbo la Mtama ..lilokua chini ya Mh Membe......atakabiliwa na majukumu ya kifaifa
..Jimbo la Kigoma kaskazini lilokua chini ya mH zitto....anataka kuwa mwalimu wa chuo

NB..wote hawa inasemekana wanataka kugombea urais..ila kwa zitto kdg kuna utata

karibu tujadili...

Cha ajabu umewakaribisha lakini bado umeonekana kizabizabina aka Kibonde.
 
zitto amesoma alama za nyakati kigoma kasikazini asingepata ubunge tena
 
Watanzania wengi hatujajifahamu vizuri. Hatujui nini tutakacho na nini tusichotaka! mfano mzuri ni huu kwamba watanzania wengi wanaanza kuona kama kelele za kukemea mafisadi ni ka wimbo fulani kaliko pitwa na wakati. Sasa shida itakuja 2015 watakaposhinda uchaguzi mafisadi wengi ndiposa watanzania watakuja kugundua kumbe ni too late!
 
hivi milembe haina ulinzi tena,. Nijuzeni tafadhali
 
Back
Top Bottom