huyu ni nani eti?
miss chagga u must be kidding Huyu ni nduli IDD Amin Dadahuyu ni nani eti?
miss chagga u must be kidding Huyu ni nduli IDD Amin Dada
Kwani ajafa bado
miss chagga u must be kidding Huyu ni nduli IDD Amin Dada
Miss Chaga kazaliwa 1979 au 80
Aya kwa hiyo political asylum seeker ndiyo nini?Are you serious miss chagga? The guy is no longer alifia Saudi Arabia na kuzikwa hukohuko aliishi huko kama political asylum seeker
Mfyuuuuuuuu mwone
Huyo ndo The Last King of Scotland, ila jamaa alikua na uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi magumu!!, dizaini hiyo picha wazungu walikua wanakula kiapo cha kutofisadi rasilimali za Uganda.
bado kwani hujamuona kwenye Bunge la Katiba Mpya!!!Kwani ajafa bado
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa leo umeamua kuja kivingine...kanumba alipatatabu sana kwa kulizwa neno why kila alichokuwa anajibu...Aya kwa hiyo political asylum seeker ndiyo nini?
Kwani uongo? Ingekuwa umezaliwa kabla ya hapo ungekua unamjua mhusika kwenye hio picha!Mfyuuuuuuuu mwone