Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

Hii ndo imthibitishie magufuli kuomba kwake aombewe,maombi yamemgeukia na kuwa laana ! Lisu hakufa japo alitamka hadharani hata survive, lakini Mungu kamdhihirishia magufuli kuwa Yy ni mkuu na mwenye ahadi ya ku survive au kuto survive kwa mwanadamu. kwani magufuli alishindwa kumfanyia Lisu kama Ben Saa 8 ? Ila kwakiburi cha magufuli alitaka kuionyesha dunia yy anawezamwaga damu hadharani na damu ya yeyote asiyekubaliana na uovu wake,akitumia vyombo vya usalama kuuwa hadharani,mchana kweupe,ktk makazi yenye ulinzi,eneo wanaloishi mawaziri, na hakuna wakumgusa !!!!! .kama ana akili akatubu kulinganishwa na Masihi,na yy akavimba bichwa badala ya kuona ni dhambi !!!.pia kashuhudia wengi ktk taifa aliloliibia kura za uraisi,wakimchukia kupitiliza,na kumpenda Lisu kupitiliza !!!! Mpaka anachangayikiwa sasa anafanya mambo ya aibu na hovyo mno,kuunganisha ushenzi wa ccm nishani za jeshi,na mchungaji feki,mahali pamoja ili aliteke jeshi na kulitumia atakavyo,nahuku akipata baraka za mchungaji wa kuzimu,anayempa mamlaka ya kuuwa raia !!! Na bado ngosha utaweweseka sanaaaaa!!! hadi umfikie nebkadreza.na hii ni hadi kizazi chako cha nne,Amen.
Amina
 
Wewe utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa kiakili. Tumuombee Mh. Lisu uponaji wa haraka. Mungu akulaani wewe unayetumia kuumia kwa Mh. Lisu kama mtaji.
 
tutaongea sana, tutapaza sauti na kujifurahisha kwa faraja za kumuumiza adui au serikalo hivyo kuweza kuleta mapinduzi

la Lissu litapita ty, litasahauliwa kama upepo

kikubwa nyie mnaojiita followers wake ni wepesi kichwani, mmejaa unyumbu na katu hamuwezi fikia status yake!

hakuna training, mativation speaks katika vyama vyetu....may be kutukana na kupinga bila hoja ndio vinaonekana ni ushujaa, bali naona ushujaa ni convincing ya kumshinda mpinzani wako kwa hoja...kisha kupanga strategy za realistic kushika dollar. Bila hivyo watawala hawaumizwi na maneno, bali na vitendo...ambavyo nyie hapo juu hamna

mmekaa kikekike, hamuwezi kuandamana hata kudai haki kazini kwako! ndio iwe taifa?

Umebwabwaja tu na wala sijaona point pamoja na kwamba umeandika maelezo mengi! nilichogundua tu ni kama na wewe ni mingoni mwa lile kundi lililotegemea Lissu must dead. Haijalishi vyovyote vile but Lissu is alive. Hata kama dola mtashangilia lakini sisi wenye akili tunajua uhai Wa mtu ni pumzi regardless kuwa unaweza kuwa unapumua ila hauna miguu, mikono, macho n.k
 
Huyu mtu ni hatari, hasa kwa influence yake kwenye jamii. Pamoja na Kwamba yuko hospitali tena chumba cha ICU lakini nguvu yake imeonekana.

Tukio kama lisijirudie tena. na hili ni onyo kwa watu wote wenye nia mbaya wakidhania kuwa wangepata uungwaji mkono juu ya Assassination of Lissu.

Get well soon Tundu Lissu
Get well soon Mnyampaa Lisu
 
Lakini pia wadharau mamlaka wengi wamepata funzo..kila mtu saa hizi fyatuu

Kwani na wewe umeamini mamlaka inahusika?

lakini hiyo fyatu sijaiona maana Mbowe kawachana kuwa nyie ndo mnahusika, Msigwa kawachana, Heche kawachana, Lena kawachana! au unataka nini zaidi
 
Wewe utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa kiakili. Tumuombee Mh. Lisu uponaji wa haraka. Mungu akulaani wewe unayetumia kuumia kwa Mh. Lisu kama mtaji.

Mwenyekiti akikusikia utaitwa kuhojiwa! Nyarandu kahojiwa kisa tu kaenda kumpoa pole Lissu, sasa wewe naye ni mwanaccm umepewa kibari na nani hadi umuombee Lissu?
 
Na hiki ndicho walichokuwa wanataka!

Badala ya kujadili mijadala anayoibua Lisu, sasa tunamjadili yeye kitu ambacho hakina faida yeyote kwa nchi.
 
Back
Top Bottom