SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,703
- 60,825
Lakini pia wadharau mamlaka wengi wamepata funzo..kila mtu saa hizi fyatuu
Sukàri ilikuwa 5000/- sasa ni 2000/-, hahahahahahaaaaaaa
Lakini pia wadharau mamlaka wengi wamepata funzo..kila mtu saa hizi fyatuu
AminaHii ndo imthibitishie magufuli kuomba kwake aombewe,maombi yamemgeukia na kuwa laana ! Lisu hakufa japo alitamka hadharani hata survive, lakini Mungu kamdhihirishia magufuli kuwa Yy ni mkuu na mwenye ahadi ya ku survive au kuto survive kwa mwanadamu. kwani magufuli alishindwa kumfanyia Lisu kama Ben Saa 8 ? Ila kwakiburi cha magufuli alitaka kuionyesha dunia yy anawezamwaga damu hadharani na damu ya yeyote asiyekubaliana na uovu wake,akitumia vyombo vya usalama kuuwa hadharani,mchana kweupe,ktk makazi yenye ulinzi,eneo wanaloishi mawaziri, na hakuna wakumgusa !!!!! .kama ana akili akatubu kulinganishwa na Masihi,na yy akavimba bichwa badala ya kuona ni dhambi !!!.pia kashuhudia wengi ktk taifa aliloliibia kura za uraisi,wakimchukia kupitiliza,na kumpenda Lisu kupitiliza !!!! Mpaka anachangayikiwa sasa anafanya mambo ya aibu na hovyo mno,kuunganisha ushenzi wa ccm nishani za jeshi,na mchungaji feki,mahali pamoja ili aliteke jeshi na kulitumia atakavyo,nahuku akipata baraka za mchungaji wa kuzimu,anayempa mamlaka ya kuuwa raia !!! Na bado ngosha utaweweseka sanaaaaa!!! hadi umfikie nebkadreza.na hii ni hadi kizazi chako cha nne,Amen.
Hahahaha mlitaka abakie nchini ili mumlamate mumpeleke mahakamani kisha mzuie watu kujadili mnasema swalla lipo mahakamaniNataka kuchangia Gharama za Matibabu ya Dereva naomba acc number
we nguvu utaionea wapi we shughulikia kuzungushia ukuta kule........Nguvu ipi? Mtu yuko icu halafu mnakaa kumsemea si msubri arudi aseme yeye
tutaongea sana, tutapaza sauti na kujifurahisha kwa faraja za kumuumiza adui au serikalo hivyo kuweza kuleta mapinduzi
la Lissu litapita ty, litasahauliwa kama upepo
kikubwa nyie mnaojiita followers wake ni wepesi kichwani, mmejaa unyumbu na katu hamuwezi fikia status yake!
hakuna training, mativation speaks katika vyama vyetu....may be kutukana na kupinga bila hoja ndio vinaonekana ni ushujaa, bali naona ushujaa ni convincing ya kumshinda mpinzani wako kwa hoja...kisha kupanga strategy za realistic kushika dollar. Bila hivyo watawala hawaumizwi na maneno, bali na vitendo...ambavyo nyie hapo juu hamna
mmekaa kikekike, hamuwezi kuandamana hata kudai haki kazini kwako! ndio iwe taifa?
Get well soon Mnyampaa LisuHuyu mtu ni hatari, hasa kwa influence yake kwenye jamii. Pamoja na Kwamba yuko hospitali tena chumba cha ICU lakini nguvu yake imeonekana.
Tukio kama lisijirudie tena. na hili ni onyo kwa watu wote wenye nia mbaya wakidhania kuwa wangepata uungwaji mkono juu ya Assassination of Lissu.
Get well soon Tundu Lissu
Lakini pia wadharau mamlaka wengi wamepata funzo..kila mtu saa hizi fyatuu
Kama ninyi hamuuamini, acheni watu waisome, msiwazuieKumbe mnaamini ushirikina?
Kwani wewe umeingiaje hapa?sasa magufuli hapo anaingiaje? Acha ujinga
Wewe utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa kiakili. Tumuombee Mh. Lisu uponaji wa haraka. Mungu akulaani wewe unayetumia kuumia kwa Mh. Lisu kama mtaji.
Siyo yangaLissu ni simba wa Tanzania
...SanaaAna nguvu kubwa
Nataka kuchangia Gharama za Matibabu ya Dereva naomba acc number
...Mkuu naona jinsi roho yako inavyoteseka, be careful usije kufa kwa BPVp Familia yake, ni lini hata uliikumbuka?
ona jina lenyewe mwifa(mpwa wangu) acha hizo bhana uwe Na adabu kwa rais wetuKwani wewe umeingiaje hapa?
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?