Labda yule aliyemuteua siyo mpinzani labda alikuwa ni pandikizi la CCM ndani ya upinzani,na hapa ndipo anapozidi kuthibitisha kuwa CHADEMA huwa hawafanyi kazi kwa kukurupuka wanapochukua hatua ya kumufukuza mtu huwa wanakuwa wameshajiridhisha kuwa huyo wanayemfukuza siyo mwenzao.
Huyo punguani kasema ukweli Fulani lakini km unasikiliza kwa makini. Mwenyekiti wetu awekage akiba ya maneno dunia duara..huzunguka jua na kubadili majira ya Mwaka..
VC: Faizafox na MsemajiUkweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.