Hawaelewani!

Hawaelewani!

Alola

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
476
Reaction score
300
ha.jpg
 
Mi nahisi fashion ya mkanda kitovuni ile ya mashamukwale itarudi. Ni madesigner tu wadunia kuamua
 
Sijawapenda wote kwa uvaaji wao
Ni kweli. Kila mtu kapitiliza...Ila bora ya huyo mzee haina tafsiri mbaya. Hata kama boxer yake chafu inakuwa ni siri yake hehehe
 
Huyo kijana wa katakiduku naona ndo punga na huyo zee naona ni minde sasa hapo ni kama wanatigeana ni yupi ata anza mashairi ya uzinzi
 
Back
Top Bottom