Pamoja na makosa mengi ya JPM alijitoa muhanga huku akijua anachukiwa na wengi kwa maamuzi yake, akitamani aone kitu kikifanyika, Tanzania mpya.
Na uharaka wa kufanya mambo ni kiashiriavtosha alijua hana muda.
Nani aliwahi kuwapinga mabeberu akaishi?
Hili nalo gumu kung'amua kilichotokea?
Kadiri siku zinavyosogea tutajua mengi