Furaha imewatoka kabisa, kama wamepigwa ganzi sema wanajikaza kiume tu, ila huenda wakirudi magetoni wanapata mda wa kulia ili kuondoa uchungu na maumivu πππ
Huyo wa kulia anaenda kuwa Brig, General. Ila inauma sana, team yote hiyo inasambaratika, dah inauma sanaaa.. ππ.. nahisi hadi huzuni yao. Kwao ni nyakati ngumu pia katika safari yao ya maisha