Hawa ZANTEL vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ZANTEL vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, Aug 26, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hii huduma yao mpya itaumiza wengi.....

  "SWAHIBA! WASILIANA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI HATA KAMA UMEISHIWA NA SALIO. PIGA # KISHA NAMBA YA UNAYEMPIGIA. GHARAMA ZA SIMU YAKO ZITALIPIWA NA UNAYEMPIGIA."  ​Sijajua mtu wa zantel akimpigia mtu wa mtandao mwingine itakuwaje.......!!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sasa kama sina salio hutaki tuwasiliane katavi!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ikiwa na mimi sina salio?? Na ikiwa ninayempigia simu sio wa zantel inakuwaje?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kama na wewe hauna salio tutaongea siku nyingine maana sidhani kama watatuconnect.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hii kali sasa.
   
Loading...