Kila MTU amelala peke yake ameoza peke yake ameliwa na wadudu peke yake amefunikwa sanda yakeWakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137
Hata wanaume ni wengi pia
Hapo sio swala la wingi tunaangalia life expectancy tu kati ya me na keHapo ndo unapata jibu kwanini duniani wanawake ni wengi
Wakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137
Katika udongo ndimo watu watokamo,, Ila mimi sitakufa kamwe.Daaah udongo umebeba watu wengi sanaaaaa
Katika udongo ndimo watu watokamo,, Ila mimi sitakufa kamwe.
King majutoPatrick mutesa mafisango, RIP
Juma kilowoko, aka Sajuki, RIP
Amina wa chifupa, RIP
Albert Mangwear RIP
Mch, christopher wa mtikila, RIP
sharo wa tanga RIP
Captn, John wa komba RIP
Samuel wa sita RIP
Mzee mchonga baba wa taifa RIP
Muhidin wa Ngurumo RIP
sijakuona kanumba RIP niliacha kuangalia tanzanian film baada ya kifo chako,
na wote mliotangulia mbele ya haki tupo nyuma yenu folen ni ndefu lakini kwa jinsi tunavyokimbia naamini tutawafikia hivi punde
Ndio sababu wanawake wana population kubwa tanzania kushinda wanaume kwasababu hawafi sanaMbona wanaume wengi kuliko wanawake
Inategemea kwenye uliko gani maana hapo kuna wasanii na wanasiasa .Wakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137