Hawa wazungu wanatudai bei gani. Kabla hatujakataa misaada.

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Wana jukwaa hivi hizi nchi wahisani wanatudai bei gani mpaka sasa... na tangu rais wetu kipenzi ameingia madarakani amelipa kiasi gani maana aliyemtangulia alijitahidi kukopa...
na sasa tunadaiwa bei gani ili tuwalipe twendelee na maisha yetu... maana hii mikopo nayo ni JIPU.
 
Lipa madeni ya ndani kama unaweza hata kabla ya kuwafikiria wazungu!! Juni mwaka jana ilikuwa shs trilion 35!! Kwa sasa sijui limefika kiasi gani!!! Kama kweli makusanyo ya kodi ni shs trilion 1.4 kwa mwezi, na yataendelea kwa kiwango hicho, ina maana tunahitaji miaka miwili serikali isilipe chochote (hata mishahara) zaidi ya kulipa deni la ndani, ili tuweze kuilipa deni lote la ndani, acha ya nje!!
 
Shikamoo mkuu...hilo ni la ndani...na la nje je???
 
Lipa madeni ya ndani kama unaweza hata kabla ya kuwafikiria wazungu!! Juni mwaka jana ilikuwa shs trilion 35!! Kwa sasa sijui limefika kiasi gani!!! Kama kweli makusanyo ya kodi ni shs trilion 1.4 kwa mwezi, na yataendelea kwa kiwango hicho, ina maana tunahitaji miaka miwili serikali isilipe chochote (hata mishahara) zaidi ya kulipa deni la ndani, ili tuweze kuilipa deni lote la ndani, acha ya nje!!
Naogopa sana.
 
Kuna vitu vinafanyika kama maigizo ,Tanzanite tu inayopatikana Tanzania pekee tumeshindwa tu japo kuzibiti soko lake ,achilia mbali hayo mashimo yanayo achwa baada ya dhahabu kubwebwa na ndege ikiwa pamoja na udongo wake

Nchi ina wapiga siasa kuliko ma technicians sasa sijui maneno yatatufanya vipi tuwe donor country

Mtatuua na njaa jamani
 
Lipa madeni ya ndani kama unaweza hata kabla ya kuwafikiria wazungu!! Juni mwaka jana ilikuwa shs trilion 35!! Kwa sasa sijui limefika kiasi gani!!! Kama kweli makusanyo ya kodi ni shs trilion 1.4 kwa mwezi, na yataendelea kwa kiwango hicho, ina maana tunahitaji miaka miwili serikali isilipe chochote (hata mishahara) zaidi ya kulipa deni la ndani, ili tuweze kuilipa deni lote la ndani, acha ya nje!!
Hio mikopo ilienda wapi?
 
Ni zaidi ya 45 kaka
Halafu tunajidai, "waache wamarekani waende na vihela vyao, tumejiandaa" , wakati tu masikini wa kutupwa mikataba mibovu ya madini inachangia kiduchu kwenye kapu la taifa kwa upande moja na inatunyonya mapato yetu kwa upande mwingine kama mikataba ya ununuzi wa umeme. Tutaisoma namba mpaka siku akili zituingie kichwani. Haijalishi wewe UKAWA, CCM etc.
 
Back
Top Bottom