Hawa wazungu wa wapi?

Hawa wazungu wa wapi?

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2,742
Reaction score
3,012
Slide2321.jpg
 
Kwani cha ajabu kipi hapo mkuu? Hiyo ni kawaida tu kwenye kampuni za kuhamisha watu. Kuna baadhi ya bidhaa/samani ambazo huwezi weka katika lift ama kutumia ngazi

Hapo wewe ndio unaonekana hujui hilo ndo mana unaona ni kama sio 'uzungu'
 
Ulipoitoa hii picha iliandikwa ni wazungu wa wapi?
 
source ya picha plzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
ukileta source tutakupa jibu
 
Grrrrrrrrrrr......JF ina mambo mengi mengi sn
 
:nono::nono:Hiko kitu kinachotaka kupokelewa kinaonekana kizito sijui ka kinaweza kupokelewa kwa mtindo huo na ukitazama kwa haraka tu unaona kuna urefu mkubwa kutoka mzigo ulipo na wapokeaji!!
 
Back
Top Bottom