Hawa watu wawaili wana tofauti gani?

Hawa watu wawaili wana tofauti gani?

Huyu kawabana mafisadi maana hawafurukuti, yule walikuwa wanamundalia safari za kwenda nje ya nchi halafu wao wanabaki wanachota hela, akirudi anakuta wameandaa safari nyingine hahahaha
 
Watu wengi hawajui maana ya kuanzisha thread. Wanadhania ni kama gumzo la barazani. Sasa hii kweli inaweza kuwa thread? Na moderators pia hawajui!
 
Chenga za Magufuli Lowasa na chadema hawakabi...ndicho kinachoendelea hkuna hoja...wikiendi hii mtajadili ngoma...ikifika 2020 wananchi wameshaamua Magufuli bila kupingwa.
Wanapigwa tobo hadi aibu!Kwisha kazi,wamebaki kuokoteza.
 
Kweli huna ajili za kutafakari yaani umeshindwa kujua kuwa hiyo mwingine alipanda ndege kwenda na kurudi huko kwenye mabembea. Gharama hiyo hukuiona na kuitathini
Asieenda ulaya kipi kilicho badilika zaidi ya maisha magumu?
 
Kusocialize ni jambo la msingi sana. Ndo maana Mwenyekiti wako anaenda kujirusha huko Dubai kwa fedha za Serikali.

Afadhali anayetalii anaweza rudi na mkate kuliko ngoma za mashetani kama walivyozibatiza wazungu
 
Back
Top Bottom