Hawa watu wawaili wana tofauti gani?

Hawa watu wawaili wana tofauti gani?

Waswahili tunasema kazi na dawa. Ndo maana Mwenyekiti wako Freeman Mbowe alikuwa na kasino Katikati ya Jiji. Baada ya kazi za Mchana kutwa lazima akainjoy kwa kusakata Rhumba huku akiwa DJ pale Bilicanaz
 
Chenga za Magufuli Lowasa na chadema hawakabi...ndicho kinachoendelea hkuna hoja...wikiendi hii mtajadili ngoma...ikifika 2020 wananchi wameshaamua Magufuli bila kupingwa.
 
Kweli huna ajili za kutafakari yaani umeshindwa kujua kuwa hiyo mwingine alipanda ndege kwenda na kurudi huko kwenye mabembea. Gharama hiyo hukuiona na kuitathini
 
Waswahili tunasema kazi na dawa. Ndo maana Mwenyekiti wako Freeman Mbowe alikuwa na kasino Katikati ya Jiji. Baada ya kazi za Mchana kutwa lazima akainjoy kwa kusakata Rhumba huku akiwa DJ pale Bilicanaz
Mbona kama haihusiani mjomba ?
 
Mmoja anaongea English vizuri na kwa ufasaha mkubwa, mwingine anaongea kiswahili kibovu, kwenye "L" anaweka "R"!
 
Chenga za Magufuli Lowasa na chadema hawakabi...ndicho kinachoendelea hkuna hoja...wikiendi hii mtajadili ngoma...ikifika 2020 wananchi wameshaamua Magufuli bila kupingwa.
jamani kweli nchi hii watu hamnazo kwa hiyo kupiga ngoma ni chenga lazima tujadili kwa sababu yule bwana nchi imemshinda kabisa ili apunguze msongo wa mawazo anaishia kudunda ngoma anatabasamu la uchungu kabisa
 
Mkiitwa nyumbu mnalia sasa hichi ulichoandika hapa ni kinini?
 
Yule anesafiri na kwenda kubembeya ughaibuni na mwingine anaezunguka hapa hapa na kuamua kupiga ngoma?

Je,katika mambo haya yasiyo na tija,tofauti yao sio hobi tu?
tayari mmeshapata tukio,mbona huelezei ngoma imepigwa wapi harusini au kwenye kumtoa mwari?acheni kuishi kwa matukio
 
Yule anayezunguka hapa hapa anabana matumizi lkn bado hata kandambili kashindwa kuwanunulia watoto wake.
Anadai wasiompenda wameficha hela lkn cha kushangaza alienda ughaobuni japo kipato chake kidogo lkn mambo yake yanaenda na familia yake inafurahia.
Lkn yule mpiga ngoma anaonekana ni bahili huyu kila siku familia yake ina lala njaa japo anadai pesa ipo
 
Back
Top Bottom