Hawa watu wakowapi?

He hamnioni!?na mimi nimo humu jaman.Kule fb hata hakunifai.
 
1. Blue ray
2. Game theory
3. Field Marshal
4. Bwabwa
5.
 
Hata mimi bwana ZIPUWAWA nilipotea nawaulizia wale waliokuwa humu sijui kama wapo Ivuga nimekuona.............nitajitahidi sasa kuwa humu ndani japo Umeme unakaba.
 
Wit,CPU,Rev Masanilo,cheusimangla na sweetbaby?Nimewamis sana!

Nipo mkuu wangu
Tatizo umeme wangu nimeunganisha kwenye kibanda cha charger ambaye nae anataiwa Mil 2 na Ngeleja.
Sasa yeye ndo Tanesco wangu, ananikatia umeme kila akiniona naingia JF
Sasa nimeamua kununua Laptop . . . . .. heheheh
 

Namaste Asaha D usijiulize sana! tupo! ... mi niponipo majukumu basi yanatufanya tushindwe kuja humu JF! uhali gani lakini ..?!

burudika kitu hii ikuliwaze week end hii

 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu, hilo jina lako tu natumia dakika 3 na sentimita 40 kulitamka lote
Ila hapo kwenye red . . . . . . ahahahahh
 

Mi tatizo nimepunguza spidi ya kuingia JF
Lakin ngoja nianze kurudi kama kawa, na kupost ma-thread kibao
 
CPU bora umerudi,duh na wengine wakirudi itakuwa poa sana!Mic u!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…