Empty maisha
Senior Member
- Oct 10, 2020
- 124
- 186
- Thread starter
- #41
Mkuu ni habari za kweli kabisaKama ni kweli, bank wanashindwa nini ku-trace?
Mkuu ni habari za kweli kabisaKama ni kweli, bank wanashindwa nini ku-trace?
Mkuu unaweza kuhamisha 14 kwenye cm?Mkuu ni habari za kweli kabisa
Mkuu namba 2 moja ya Airtel na nyingine ya voda kila moja ilipokea milion moja laki tisa themanini na name elfu na hela zake. Hiyo ac ilipokea 10+milnHii ngumu kuamini kuhamisha pesa kwa mobile wanaruhusu zaidi ya milioni 1? na hivyo fedha inahamishiwa kwenye A/C ya nani? hapa kuna shida kidogo
OkeyMkuu namba 2 moja ya Airtel na nyingine ya voda kila moja ilipokea milion moja laki tisa themanini na name elfu na hela zake. Hiyo ac ilipokea 10+miln
Ondoa hizi sensitive info humu ndani.Wakuu ni habari za kweli kabisa na namba zilizo husika pamoja a/n hizi hapa View attachment 1807900
Nimeondoa mkuuOndoa hizi sensitive info humu ndani.