Hawa watu taarifa hizi hupata wapi?

Hawa watu taarifa hizi hupata wapi?

kwa kweli umefanya vizuri kuweka uzi huu humu ndani.ni wengi waliopatwa na masahibu hayo na wengine mara tu baada ya kwenda kutoa pesa kidogo kwa ajili ya matumizi wamevamiwa na majambazi na kupigwa risasi.umeuliza taarifa hizi wanazipata wapi jibu ni rahisi tu ni watu wa hazina.

Taasisi hiyo kwa weli imepoteza credibility kabisa nadhani ni muda mwafaka sasa waziri husika akaimufumua yote ili kupata watu wenye maadili mazuri.hazina wameshiriki matukio mengi ya wizi kuanzia kwenye misharahara feki,kutengeneza slips za mishahara mbili mbili halafau wanapiga hela za watumishi.kuna madudu mengi sana hazina tukianza kuyaweka humu haishi leo.

Waziri mwigulu ana kazi kweli kweli na kama alidhani atarest namwonea huruma.hazina inahitaji kiongozi kichaa kuiongoza vinginevyo huwezi.
 
Matapeli yamekuwa mengi kila mahali hadi watu waliopewa dhamana wanashiriki kwenye upuuzi wa aina hii, na yote hii ni tamaa iliyopitiliza mipaka, ushauri wangu wastaafu wapate mawasiliano ya wahusika ofisini mapema na wasiwasiliane kwa namba nyingine yoyote zaidi ya wale waliokwisha wasiliana nao na kuwafahamu. Na pia kama kuna tatizo kwa mstaafu kufanya mawasiliano ya namna hiyo ni bora apate usaidizi kwa mtu wa karibu...
Hawana imani na hao wa-karibu!!
 
Alihamisha hela kwenda kwenye namba ya simu au a/c ya benki?..

✓Kama ni simu haiwezekani kuhamisha hizo 14m kwa siku moja..

✓Na kama amehamisha kwenda a/c ya benki huyu mtu ni lazima apatikane/ajulikane otherwise benki ina la kujibu.
 
Inaweza ikawa mbinu ya kimamlaka kabisa kurudisha pesa za kiserikali mamlakani!!!Ujasusi wa kiuchumi huu!!!INAKUWAJE TAARIFA ZA MSTAAFU AU MTUMISHI ZINAPEWA WATU WENGINE WAKATI NI SIRI KAMA SIO MAMLAKA ZINAHUSIKA???
Kitu hicho nami nimejiuliza sana hawa wanapata wapi taarifa za Siri na ni za kweli mtupu
 
Alihamisha fedha kwenda kwa nani?
Simu ya mtu? Akaunti?
Muala miwili ambayo ilikuwa na jumla ya sh 10+ ml iliingia kwenye acc ya benk inaanzia na 230 na miamali 2 inayofanana kila mmoja ulikuwa na 1988231 iliingia kwenye namba za simu za mitandao 2 tofauti.
 
Let her report to Police. Ni case rahisi sana maana kuna evidence nyingi sana na ambazo wala hauitaji kuumiza kichwa. Pesa zimetumwa electronically. Police wakishindwa na hili atoe taarifa ikulu ili jeshi lote livunjwe.
Tumesha ripoti ila maelezo ya awali polisi wanakwamishwa na makampuni ya simu kwani wanapo hitaji taarifa za namba fulani mfano 07xxxxxxxxx haya makampuni hawaoneshi ushirikiano. Kwa mfano nilioneshwa barua zilizoandikwa na polisi kwenda kwa makampuni ya simu tangu mwezi October 2020 hazijajibiwa Hadi Sasa.
 
kwa kweli umefanya vizuri kuweka uzi huu humu ndani.ni wengi waliopatwa na masahibu hayo na wengine mara tu baada ya kwenda kutoa pesa kidogo kwa ajili ya matumizi wamevamiwa na majambazi na kupigwa risasi.umeuliza taarifa hizi wanazipata wapi jibu ni rahisi tu ni watu wa hazina.

Taasisi hiyo kwa weli imepoteza credibility kabisa nadhani ni muda mwafaka sasa waziri husika akaimufumua yote ili kupata watu wenye maadili mazuri.hazina wameshiriki matukio mengi ya wizi kuanzia kwenye misharahara feki,kutengeneza slips za mishahara mbili mbili halafau wanapiga hela za watumishi.kuna madudu mengi sana hazina tukianza kuyaweka humu haishi leo.

Waziri mwigulu ana kazi kweli kweli na kama alidhani atarest namwonea huruma.hazina inahitaji kiongozi kichaa kuiongoza vinginevyo huwezi.
Kwa kweli mkuu watu wa hazina ndo wahusika namba moja na unaonesha Wana mtandao wao ambao hutoa taarifa za mhusika na kuanza kufanya kazi.
 
Tumesha ripoti ila maelezo ya awali polisi wanakwamishwa na makampuni ya simu kwani wanapo hitaji taarifa za namba fulani mfano 07xxxxxxxxx haya makampuni hawaoneshi ushirikiano. Kwa mfano nilioneshwa barua zilizoandikwa na polisi kwenda kwa makampuni ya simu tangu mwezi October 2020 hazijajibiwa Hadi Sasa.
This is unacceptable. Nenda TCRA. Lakini pia mwoneni RPC. RPC asipowasaidia mwoneni DCI. Watu wa mitandao unaweza kukuta tayari wameshamtafuta mtuhumiwa na wameshakula kitu kidogo au dharau tu. Pia, hawa police wetu wanaoitwa wapelelezi wengi wao hawana uwezo mkubwa wa investigation. Pia ni wala rushwa. Whatever the case, mwizi wenu atapatikana tu. I wish police wetu wangefanyia kazi hii issue yako maana ingewaongezea sifa. Case ni wazi sana maana wanaangalia tu pesa ilikwenda bank gani na account ipi. Owners wanajulikana. Kama ni pesa kwenye simu lazima owner anajulikana na alama zake za vidole. Na transactions zote zipo. It was a one day case na unaita vyombo vya habari na unapanda title. Please see the above mentioned people and narrrate the saga. Wasipokusaidia, just tell the mother to inform President Samia.
 
Nadhani njia pekee na siyo na ghara ya kupambana na hao matapeli ni WASTAAFU KUPEWA ELIMU YA KUTOSHA YA KUWAEPUKA MATAPELI KABLA YA KUPEWA MAFAO YAO.

Nakumbuka kabla ya elimu kusambaa juu ya wizi wa kimtandao watu wengi wakilizwa, ila leo watu ambao wanalizwa ni wale ambao hawana elimu juu ya kinachoendelea.

Hili kundi la wastaafu ni rahisi sana KUPEWA elimu sababu serikali ina acces nao
 
Elimu ni endelevu. Pia elimu ni more expensive than using the system we have. Kila namba imesajiliwa kwa NIDA. So we have all the details including fingerprints. Banks have our details. For example, ukishajua mwenye simu hii ni Fatma-Zehra and you have all her details, huitaji hata kumwita. Unafunga kila kitu chake kilichoko kwenye system. Kuanzia account ya bank na account zake za mobile money na unafunga kila account iliyofanya transactions na huyu mtu plus their mobile money accounts zilizopokea zote. Then ndiyo unaanza kumtafuta ambapo hutatumia muda mwingi sana. Utafahamu agent aliyesajili number hizo na kama kuna shida mobile companies will also be implicated. Banks will not only inform you their whereabouts lakini wataangalia transactional history ya hizo accounts even for the last five years na hapo watakuwa wamesha-profile na kuwa-locate watuhumiwa bila hata kutoka ofisini. This is modern policing that works in both developed and developing countries kwa sasa. Unfortunately, most of our police cannot think na ku-profile mtuhumiwa. Wanajua kuvamia tu..Stupid.
 
Hivi haiwezekani kufuatilia mafao ya mtu fulani kule Hazina yalifanywa na nani? hasa yalikuwa lini, na nani alieidhinisha hizo pesa zitoke? hawa watu ndio wakuanza nao.

Sitaki kuamini kama haya mambo huwa processed electronically throughout, lazima wahusika wapatikane.
 
Tumesha ripoti ila maelezo ya awali polisi wanakwamishwa na makampuni ya simu kwani wanapo hitaji taarifa za namba fulani mfano 07xxxxxxxxx haya makampuni hawaoneshi ushirikiano. Kwa mfano nilioneshwa barua zilizoandikwa na polisi kwenda kwa makampuni ya simu tangu mwezi October 2020 hazijajibiwa Hadi Sasa.
Nenda makao makuu ya hizo kampuni, usiende ofisi za vichochoroni hao mpaka wapewe rushwa ndio wanafanya kazi.

Usiogope kupanda basi ikibidi kama uko mkoani uje Dsm mfuatilie hilo jasho la mtu lisipotee bure.
 
Nashukuru mkuu kwa mawazo mazuri
 
Hii ngumu kuamini kuhamisha pesa kwa mobile wanaruhusu zaidi ya milioni 1? na hivyo fedha inahamishiwa kwenye A/C ya nani? hapa kuna shida kidogo
 
Nenda makao makuu ya hizo kampuni, usiende ofisi za vichochoroni hao mpaka wapewe rushwa ndio wanafanya kazi.

Usiogope kupanda basi ikibidi kama uko mkoani uje Dsm mfuatilie hilo jasho la mtu lisipotee bure.
Kama ni kweli, bank wanashindwa nini ku-trace?
 
Back
Top Bottom