Kila ubaya utalipwa..kutendeana HAKI ni muhimu sana.
Hatuna vyombo huru vya habari habari ambavyo vinaweza disseminate habari objectively na bila woga. Huwa najiuliza kwani hawakusomea mambo ya uandishi wa habari. Kile wanachojua ni Yanga na Simba ama michezo. Akili niashia hapo. Tatizo. No investigative journalism kuleta mambo yiyojificha. No nothing. ZERO!!!!Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .
Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .
Angalia Video hii hapa chini
View attachment 2076160
Hivi CHADEMA ina nguvu !Kuanzisha chama cha siasa na kiwe na miguvu kama ya Chadema si kazi ya kitoto
Nilitaka kusema mapenzi...unamaanisha nini ?
Ofcourse yes, lakini kwa hili la kutokuwa na agenda za msingi ni kweli.Kigogo alikua enzi hizo.
Huyu wa sasa anashikwa shikwa makalio bar za banana wine Kama barmaid.
Kwani mwendazake bado ana nguvu?Kunaitwa kujitutumua hata kama nguvu zimewaishia!!athari za mwendazake kwa chama hiki ni kubwa sana!!nguvu sake zimepungua tofauti na 2015!!dola imewatesa Sana wanachadema hadi sasa!!
Kigogo huyu huyu aliyewashauri Chadema waunde kikosi/jeshi la kupambana na serikali halafu Lissu akamshukia kama mwewe kwamba ni mjinga?? Na kuanzia siku hiyo hiyo akabadili gia angani?Ndio maana Kigogo anasema tafuteni agenda kwanza Ili tuwaelewe. Hii leo Ndugai kesho Lukuvi haitawasaidia
kichwan mwako mna ubongo ?Hivi CHADEMA ina nguvu !
Paul na Sila waliomba hadi milango ya gereza ikafunguka.Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .
Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .
Angalia Video hii hapa chini
View attachment 2076160
Kigogo alijiona ni maarufu sana. Alipigwa na kitu kizito hatosahau maishani.Kigogo huyu huyu aliyewashauri Chadema waunde kikosi/jeshi la kupambana na serikali halafu Lissu akamshukia kama mwewe kwamba ni mjinga?? Na kuanzia siku hiyo hiyo akabadili gia angani?
Kujifariji na kumpa matumaini MwambaWakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .
Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .
Angalia Video hii hapa chini
View attachment 2076160