Wazazi wao ndio wana ccm!
Serikali ya ccm kusema na kutekeleza kwao ni tatizo kubwa sana..tena nakumbuka kauli hiyo aliitoa pale udom....lSi serikali iliwahi kutoa waraka wa kuzuia wanafunzi kutolewa madarasani kushiriki siasa?
Havi hawa watoto wanaofanya gwaride la maadhimisho ya miaka 34 ya ccm ni wanaccm au wanafunzi wametolewa shule wkt huu ni msimu huu ni wa masomo?