Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jun 5, 2016 #2 Ila vina afya, labda hiyo kitu ni nzuri kwao
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Jun 5, 2016 #3 Hawa mama zao itakuwa wale wanaoingiaga night mtaani hapo wanawashindilia wine walale wawafungie ndani wakasake pesa
Hawa mama zao itakuwa wale wanaoingiaga night mtaani hapo wanawashindilia wine walale wawafungie ndani wakasake pesa
Mibas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,213 Reaction score 6,390 Jun 5, 2016 #4 Wanawake wa dar ni shida