mtendaji anakuweka ndani kwa Muda ukisubiri Polisi waje kukuchukua kukupeleka kituoni.Msaada tutani.Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
Kwa mujibu wa sheria zetu hawana mamlaka hayo.Hao ni walinzi wa amani-subject kwa regulation ya sheria nyingine. Kazisome
Nimesema hao ni walinzi wa amani(guardian of the peace) subject kwa sheria nyingine. Uliishia darasa la tatu?Kwa mujibu wa sheria zetu hawana mamlaka hayo.
Kwa mujibu wa sheria wenye mamlaka yaa kuweka lockup raia ni polisi, takukuru, na tiss baada ya mabadiliko ya sheria yao
Ikiwa kakuweka na kukuachia naweza kumfungulia kesi gani?mtendaji anakuweka ndani kwa Muda ukisubiri Polisi waje kukuchukua kukupeleka kituoni.
Mamlaka hayo wanayo
Afunguliwe kesi gani huyu mtendaji?Kwa mujibu wa sheria zetu hawana mamlaka hayo.
Kwa mujibu wa sheria wenye mamlaka yaa kuweka lockup raia ni polisi, takukuru, na tiss baada ya mabadiliko ya sheria yao
Mtendaji anayo Mamlaka ya kukuweka ndani saa 12 pale tu unapotaka kuhatarisha au kuvuruga amani ,sio kwa makosa mengine zaidi ya hayo.Msaada tutani.
Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
Jee kama aliewekwa n mgonjwa?Nimesema hao ni walinzi wa amani(guardian of the peace) subject kwa sheria nyingine. Uliishia darasa l
Hawana mamlaka hayo mkuu.
Siyo mgonjwa ni mambo madogo tu.Jee kama aliewekwa n mgonjwa?