chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,889
- 29,694
Habari zenu wana-MMU,.
Naamini sikukuu imewaendea vyema pia kwa wale ambao sikukuu haikuwaendea vyema nazidi kuwatia moyo na si vibaya mkaungana na huyu binti aliyempigia simu mpenzi wake na mazungumzo yao yalikuwa hivi,.
Binti: Mpenzi leo ni boxing day hata sina zawadi ya kufungua,.
Jamaa: Mimi sina hata zawadi ya kukupatia mpenzi wangu ila fungua tu mlango inatosha,.
''Happy Boxing Daya Wana-MMU''