kimbweto
Member
- Oct 6, 2012
- 53
- 189
Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na tuwahudumie.
Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa zaidi ya mmoja.
Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa zaidi ya mmoja.