Ndo sisi tunakutana sokoni nanunua dagaa, nyanya chungu n.k
nahemea vitumbua vya kunywea chai pale kwa bibi athumani
ila huku ntaandika natoka shopping supermarket nimenunua fillet na hapo kwenye vitumbua ntasema nimekula baga
Mupenzi anaishi nyumba ya pili kutoka hapa uswazi kwetu anazurura tu ila huku ntasema yupo nje kikazi
rahaaa utamuuuuu
Mitandaoni fake names, fake profile pictures, fake comments...kila kitu ni fake hapa!!!!
Hata mawazo fake,stories fake but ukifuatilia uhalisia wa maisha ya kila mtu nikiwemo Mimi utachanganyikiwa,fake life.
Na hili la maisha ndio balaa tupu kabisa
Unaweza kufikiri snowhite ni booonge la tajiri kumbe tunakula nae kwa mama ntilie huku uswazi ....lol!
Na mama ntilie mwenyewe ni Ennie ...lol
Ukiwasikia hapa eti oooh mimi naenda China kufuata biashara na sijui nini kumbe ni wa uswazi tu na hata Nairobi hawajawahi kufika achilia mbali China ...lolzz!!!!!!!!
Hata mawazo fake,stories fake but ukifuatilia uhalisia wa maisha ya kila mtu nikiwemo Mimi utachanganyikiwa,fake life.
Hahahahaaa
Na ukisema hivi mtu anakuchukulia kama vile mtu fulani hivi wa maisha ya kati kumbe ni wewe tunakutana uswazi kila uchao
Kazi inakuwa kubwa pale kunapotokea sababu ya mimi na wewe tunaewasiliana mtandaoni kuonana
Itabidi ukope ili ukanunue nguo za kufanana na ile hadhi yako ya mtandaoni na utaniambia tukutane kwenye vle viwanja vya bei
Baada ya kukutana na mimi unaanza kukimbizana na wanaokudai
Kaaazi kweli kweli!
Na hili la maisha ndio balaa tupu kabisa
Unaweza kufikiri snowhite ni booonge la tajiri kumbe tunakula nae kwa mama ntilie huku uswazi ....lol!
Na mama ntilie mwenyewe ni Ennie ...lol
Ukiwasikia hapa eti oooh mimi naenda China kufuata biashara na sijui nini kumbe ni wa uswazi tu na hata Nairobi hawajawahi kufika achilia mbali China ...lolzz!!!!!!!!
Hebu nianze na wewe
Unapenda kubwa au?
Unapenda jamaa atwange kama kinu au?
Jamani one day toshow our real life yetu,tupange tukutane kubadilishana mawazo uje kama ulivyo kitaani just kufahamiana,kama ni wale tunaokutana nao kwa mama Bhoke tujuane,najua wengi hawawezi kukubali coz tunafake life.
Ndo sisi tunakutana sokoni nanunua dagaa, nyanya chungu n.k
nahemea vitumbua vya kunywea chai pale kwa bibi athumani
ila huku ntaandika natoka shopping supermarket nimenunua fillet na hapo kwenye vitumbua ntasema nimekula baga
Mupenzi anaishi nyumba ya pili kutoka hapa uswazi kwetu anazurura tu ila huku ntasema yupo nje kikazi
rahaaa utamuuuuu
Duh!!!! Hawa wa mitandaoni ni soo kimbia faster.
Kuna wengine utasikia mwanaume anaekupenda ni yule anae kuhonga huyo ndo mwenye mapenzi ya kweli.
Kimbia nasema tena kimbia,,mwanamke wa mtandaoni utasikia hataki kuja kwako kufua wala kupika,,ila kila kitu mhudumie.
Sio utani kimbia usisimame,,,mwanamke wa mtandaoni kujisaga anaita kujichua au punyeto.
Usiache wewe endelea kukimbia,,,Mwanamke wa mtandaoni,,,wanataka dushe kubwa punda cha mtoto,,,unasimama unayo? we kimbia
Aisee usichoke kimbia,,,mwanamke wa mtandaoni hapandi boda boda ye zake tax,,anapenda kila fashion mpya ya nguo na mwanaume utagharamia.
Ayayaaahh,,mwanamke wa mtandaoni hataki mwanaume anae mng'ang'ania we kula kisha jikatae.