Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 21,010
- 43,953
Mkuu mnatufundisha uharamia Dunia Ina mambo sanaaaKashikwa tako kidogo tu kalegea kaenda ghetto la muhuni kabla ya kumpelekea moto kwa chumba anakifukiza bangi anaimix na udi akiingia tu akivuta Moshi wa bangi muda mfupi tayari akili ishahama anafanywa vibaya mpaka anamsahau jamaa yake anakuja kujiliza JF
Nina mengi ya kusimulia mapenzi yanastaajabisha na kushangaza sanaa.....I have standards mzee
Wazee wa kataa Ndoa na kujichukulia sheria mkononi..☺️☺️😊Tunza kibunda chako
Mkuu,Mkuu kuna watu ukiona unao shea nao hadi uboo utasinyaa
Mbona hamna mahali nimesema kataa ndoa mkuu acha kunisingizia bhana.Wazee wa kataa Ndoa na kujichukulia sheria mkononi..☺️☺️😊
Na muhuni hakai kishamba unakuta kapigilia pamba za bei mbaya km ni suti basi suti ya maana binti anajua ni kijana mstaarabu kumbe bonge moja la muhuni linaenda kumlisha biscuit za bangi akishawaka tu anamfanya vibaya mpaka anamsahau jamaa yake anakuja kujiliza JFMkuu mnatufundisha uharamia Dunia Ina mambo sanaaa
Amani ya bwana itawale mkuu 😊 😊 nilikua nachomekea tu in JPM voice...........Mbona hamna mahali nimesema kataa ndoa mkuu acha kunisingizia bhana.
Sikiliza kijana na uache ujinga.Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi.
Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae sahani moja aisee ni kinyaaa.
Mbususu ndio imekua intersection point ya mataji na mafukara ,wachungaji na waganga, wenye akili na wendawazimu, wachafu na wasafi
..yaani wote hawa kinacho tukutanisha ni k.
Kapo muhusika kanigomea kuwa hawezi kudinywa na huyo jamaa ila nilivyo muona jamaa anakila dalili za kumla huyu demu na anampenda
At least hata jamaa angekua kama mimi au zaidi yangu ningejiona mwamba ila hapa mwenzenu nimepigwa na radi.
Ladies kuweni na standards bana duu
NB
ieleweke sijachapiwa cos na mimi ni mwizi kama waizi wengine. But I have standards...simba hawezi kula sahani moja na fisi hata hiyo sahani iwe nzuri vipi
😃😃Amani ya bwana itawale mkuu 😊 😊 nilikua nachomekea tu in JPM voice...........
Kama ulifaulu darasa la nne ni muujizaNa muhuni hakai kishamba unakuta kapigilia pamba za bei mbaya km ni suti basi suti ya maana binti anajua ni kijana mstaarabu kumbe bonge moja la muhuni linaenda kumlisha biscuit za bangi akishawaka tu anamfanya vibaya mpaka anamsahau jamaa yake anakuja kujiliza JF
Na usiombe ukimdatisha mwanamke Kuna jamaa alikua busy na kazi na anamkwanja wakutosha ila busy nyingi akapigwa tukio Hilo mpaka muda huu hajakaa sawa...Na muhuni hakai kishamba unakuta kapigilia pamba za bei mbaya km ni suti basi suti ya maana binti anajua ni kijana mstaarabu kumbe bonge moja la muhuni linaenda kumlisha biscuit za bangi akishawaka tu anamfanya vibaya mpaka anamsahau jamaa yake anakuja kujiliza JF
Usishindane nao yaan akiamua kwa siku anaweza akawavulia chupi msululu wa wanaume na usijueKama ulifaulu darasa la nne ni muujiza
Hiyo sio VIP Mjuba.Utajisikiaje umekata umekata tiketi VIP ila ukipanda unakuta kila mtu kapanda na wengine wamepakatia mabata mkononi
Tukio gani Mzee wangu?Na usiombe ukimdatisha mwanamke Kuna jamaa alikua busy na kazi na anamkwanja wakutosha ila busy nyingi akapigwa tukio Hilo mpaka muda huu hajakaa sawa...