Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
- Thread starter
- #61
Unamuacha tu ili ajione ni mjanja sana kumbeUlikosea sana mzee
Ungewachana ili waache hizo tabia
Au bas unge deal na rafiki yake tuu
Unamuacha tu ili ajione ni mjanja sana kumbeUlikosea sana mzee
Ungewachana ili waache hizo tabia
Au bas unge deal na rafiki yake tuu
MhhhhhhhhhhWanawake? Akili zao wanazijua wenyewe..nikuishi nao kwa akili tu
Hapana siyo mjinga ni mapenzi tu jamaniUnaelezea kabisa ulivyo mjinga mkuu, alafu unamlaumu Suzy kweli?
Kuku na mayai yakeUngekuwa na uwezo wa muendelezo wa part 2 hii ungeuza kwa Mtitu kufidia nusu hasara.
Kama sterling ningekuwa mimi huyo rafiki angeliwa faster kuliko hata upesi.
Kuna watu mnatutia aibu wanaume, hii si aibu yako bali aibu yetu, yani kamchezo ka kazungurukee hukajui?
Mwanamke mshenzi kama huyo unamla yeye, dada zake, rafiki zake na ikibidi mama mtu.
Mm ndivyo ninavyowaliza saivi, tokea demu wngu wa mwanzo anisumbue na kunisalitiDem mmoja akikuzingua hapa duniani basi atasababisha wanawake wenzie wengi walie
Ata mm ningelitoa ila tambua nimeshajua ukweli, lazima utumie busara, sasa kama angelitumia hasira kama ana nia ya kulipiza kisasi asingefanikiwadada alifanya magic na wewe kweli ukatoa elfu 5,duh!
Lkn mkasa wake hauonyeshi kama alifanikiwa,au ina pt.2?Ata mm ningelitoa ila tambua nimeshajua ukweli, lazima utumie busara, sasa kama angelitumia hasira kama ana nia ya kulipiza kisasi asingefanikiwa
HahahahhahahahahaaaaaIngekuwa ni mimi wakati wa kuaga ningewaaga kisukuma kudadadeki yaani asingelala





Wengine ata hawavutii wala nn ila ndio tabia zao madem pasua kichwa, utakuta demu anasura kama tako lakini na yy anasumbuaUwaga mnashauliwa kabla ujaenda kumtongoza dem hakikusha nanakupenda kisawasawa, ila nyie mkiona tu mwanamke anavutia mnarukia,
Sio ndogo hio, ktk milioni 1 ukutoa elf 5 itabaki laki 9 nakadhalikaNilivyosoma unampa hela nikasema hatarii. Kumbe anakuomba elfu 5![]()
sasa wewe kwakuwa luga uliijua ulitakiwa mwisho kabisa wakati mnaondoka uage kwa kisukuma fasaha, hapo nahisi ange aibika zaidi demu. afu ukampotezea mazima.Mwaka 2013 nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa 6 nilipofika Tabora nikitokea Tanga ambako nilikaa kwa miaka miwili, nilipofika Tabora nikatokea kumpenda sana msichana mmoja aitwae Suzy wa Tabora.
Japo nae alionyesha kuwa ananipenda ila hakuwahi kunikubalia kuwa pamoja nae, kila nilipomtaka aje kunitembelea alinidanganya kwa maneno mazuri. Lakini kila alipokuwa na shida ya pesa mimi nilimtimizia ili ajue kuwa nampenda kweli.Siku moja Suzy aliniita kwao nikaenda mimi na rafiki yangu Jaffary mtu wa Geita.
Tulipofika tukapewa viti, kwa bahati nzuri kwao alikuwepo yeye mwenyewe na rafiki yake aitwae Neema. Tulipofika akaniambia kuwa ameniita ili kunitamburisha kwa rafiki yake Neema, sasa cha ajabu alikuwa hajui kama mimi ni msukuma wa Kasamwa, ila yeye nilivyokutana nae nikitokea Tanga alijua mimi ni Mtanga. Akaanza kuongea kwa kinyamwezi na kinyamwezi na kisukuma ni yale yale. Akawa anamwambia yule rafiki yake Neema kwa kinyamwezi kuwa "unamuona huyo mvulana mwenye shati jeupe?
Neema akajibu ndio, Suzy akaanza kuelezea sasa kwa kinyamwezi; Huyu ndio yule mtanga huwa nakwambia kuwa ananisumbua kunitongoza ila mimi huwa simtaki, lakini ni king'ang'anizi sana"rafiki yake Neema akamuuliza;kwani uliwahi kumwambia kuwa humtaki?
Akajibu kuwa sijamwambia ila angekuwa ni kijana mwenye akili timamu angejiongeza mapema maana huwa kila akinitaka mi namchenga ila nikiwa nina shida ya pesa nikiomba tu ananipa) yule rafiki yake akanitazama kwa huruma kabisa, kisha mimi ili kujifanya kuwa hatuelewi wanachoongea nikauliza kuwa mnatusema eti? My Suzy akanijibu kwa sauti ya upole kuwa hapana baby ninamtamburisha rafiki yangu sema tu kwa kuwa nyie hamjui kinyamwezi ndio maana mnadhani tunawasema.
Kisha Suzy akaendelea kumwambia Neema kuwa "yaani amenitongoza siku nyingi sana ila namzungusha ili ajielewe lakini ni kupe huyu" Neema akauliza "kwanini unamfanyia hivyo? Si bora ungemwambia ukweli kuliko kumpotezea muda na pesa zake bure" Suzy akajibu "sio nampotezea muda na pesa zake bure, bali anajipotezea yeye mwenyewe na hata sasa hivi alikua anataka niende nae kwake alipopanga ila nimekataa na nitamuomba pesa hapa hapa mbele yako uone kama ataninyima"
Sasa muda wote huo mimi na rafiki yangu Jaffary tulikuwa tunasikia na kuelewa kila kitu na Jaffary alipotaka kucheka nilimgusa ili asicheke.Suzy akamaliza kunitambulisha akaniomba elfu 5 kuwa ana shida nayo.
Nikaingiza mkono mfukoni nikatoa elfu 5 na kumpa na siku hiyo nilikuwa na hiyo hiyo elfu 5 tu. Rafiki yangu Jaffary aliniangalia kwa jicho la hasira ila mimi sikujali maana nilijua nikifanyacho.
Suzy akapokea kisha akaniambia "bai baby wangu"na mimi nikajibu, bai my dear kisha tukaondoka, hatimae leo imetimia miaka mitano tangu nipate aibu ambayo sitawahi ipata tena toka kwa wanawake.
Demiss njoo huku kumbe unatabia hiziHata demiss kawahi kunifanyia hivi hivi
Kama ukiwa na shida atajitoa kivyovyote kwaajili yako, atakuwa anapenda ku-spend muda mwingi na wewe, anakuwa na wivu na wewe, hata kama huna hela kwake sio ishu, atakutambulisha kwa ndugu na marafiki zake na vitu kama hivyo,Utaakikisha aje anakupenda kweli
Yap hata mi ningefanya hivo alafu siku ya mwisho nawakutanisha wote na rafik yake halafu unawaaga kwa kinyamwezi ili kuwaharibu saikolojia kabisaUngekuwa na uwezo wa muendelezo wa part 2 hii ungeuza kwa Mtitu kufidia nusu hasara.
Kama sterling ningekuwa mimi huyo rafiki angeliwa faster kuliko hata upesi.
Kuna watu mnatutia aibu wanaume, hii si aibu yako bali aibu yetu, yani kamchezo ka kazungurukee hukajui?
Mwanamke mshenzi kama huyo unamla yeye, dada zake, rafiki zake na ikibidi mama mtu.
MhhhhhhhMi wananishangazaga sana mademu wa kiivyo, sijui wanakoishi awana vioo au hata kama wanavyo nahisi vitakuwa vinawadanganya,
Wewe unapenda shariYap hata mi ningefanya hivo alafu siku ya mwisho nawakutanisha wote na rafik yake halafu unawaaga kwa kinyamwezi ili kuwaharibu saikolojia kabisa