Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,305
- 51,965
Kama ulitaka akupende na aumie kuliko wewe, basi ungemtongoza Rafikiake palepale
Utaakikisha aje anakupenda kweliUwaga mnashauliwa kabla ujaenda kumtongoza dem hakikusha nanakupenda kisawasawa, ila nyie mkiona tu mwanamke anavutia mnarukia,
Mapenzi tu mkuuWewe ni bonge la bushoke. Fl kbsa
Elfu tano siyo hela ex bae?Nilivyosoma unampa hela nikasema hatarii. Kumbe anakuomba elfu 5![]()
Ni hela ex bae ila sio kama alosema mtoa mada kuwa huwa anampa hela akiombwa.Elfu tano siyo hela ex bae?
HahahahaNi hela ex bae ila sio kama alosema mtoa mada kuwa huwa anampa hela akiombwa.
Kweli itakua kubwa sana.Hahahaha
Sasa huoni hata sista alikuwa ana brag kuwa anapewa hela
Ukute kwa huko kwao ni kubwa sana
HahahaaKweli itakua kubwa sana.
Hahahahahaaa. Sista akipewa elfu 20 sijhi itakuaje.Hahahaa
Halaf ujue elfu tano zikitolewa mara nyingi zmakuwa hela.nyingi tuu.
Sasa kanifurahisha na sista anavo furahi kumchuna braza elfu 5
Alikuloga nin . . Aya buanaMapenzi tu mkuu
Itakuwa wewe ni hatari sana kwa afya kama 5000 siyo pesa kwakoNilivyosoma unampa hela nikasema hatarii. Kumbe anakuomba elfu 5![]()