Hawa wanaume hatujawajulia tu

Visingizio!! visingizio!! KM huko chini kume china!!! tukupe dawa!!! kwani yeye anavo kutafutia maisha mpaka anahatarisha maisha yake sometimes?? kula. kulala. kuvaa, kukupendezesha...

Mbaya zaidi anakupeleka shule ukasome , wewe pamoja na wanao, kodi ya meza km kawa bado unajiona weye na papuchi yako hiyo ni mtumwa kuliko yeye???

Anakuachia Legacy Km yote atakapo kufa!! na hakuna wa kukuuliza na nguvu zake zooote unamalizia kwa nyumbani yake na wanao wanakutunza maisha tena some times waweza olewa na me mwingine km mke wa Samora...

sasa nakuuliza nani Slave of slaves? kati yako na yeye???! ukimpa hako kadude kata kugahrimu nini??? na mtu anakutengenezea maisha??

mkiachwa mnalia lia hovyo!hovyo kuuuumbe hampigagi hesabu rahisi ambayo mleta mada kawarahisishia tena tunge mchangia hela mleta mada kwa moyo huo wa kufunguka ametupenda bure wana JF!!

Lengo ni ili aendelee kuwa na moyo wa kusaidia watu humu...ngoja nimpigie Max simu kama akiweza mie ntachangisha wana chama wangu wa JF huko kiringeni kwetu!..................................

SEMA tu MX yuko Busy hapokei simu ila ntajaribu tena!!
Umenena vyema sana mkuu,ubarikiwe Sana,Kwa ke kudhani Kua papuchi nikitu cha maana Sana kiasi cha kumbania mmewe au mpenzi wake nikitu cha hatari ,me wanajitoa snaa Kwa ke nawanafanya alot kuwafurahisha ke, kmaa ulivyoainisha hapo alot of legacies ikiwemo risk mbalimbali halafu uje umringishie na papuchi Tu,ndio chanzo kikuu cha kuchepuka Kwa ke wanaojielewa Kama Akina to yeye,fikiria mmmeo akutane na mwanamke mwenye caliber za Akina to yeye.ndoa lazima iwe mashakani.
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama
Binadamu haridhiki hata siku moja...utamfanyia yote hayo, hataridhika! mwisho atakuomba umpatie TIGO yako...utampa!? Haya mambo hayanaga fundi. Fundi ni Mungu tu.

Zaburi 127:1
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Binadamu haridhiki hata siku moja...utamfanyia yote hayo, hataridhika! mwisho atakuomba umpatie TIGO yako...utampa!? Haya mambo hayanaga fundi. Fundi ni Mungu tu.
Zaburi 127:1
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
❤️
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.

Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...mpe kile Cha chap Kwa haraka egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede)

Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao

Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu... maskini ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....

Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio...

Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao

NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!
Waambie waelewe, maana saa 7 mchana unamwambia mama unipe kile kidudu nikifanyie kazi. Atakujibu mchana wote huu haiwezekani. Mara nimetingwa na kazi, wakati hizo kazi zipo kila siku.

Ninachokifanya namtumia text kahaba mmoja tukutane kona Y namwaga halafu jioni kila mmoja alale. Jinga kabisa.
 
Waambie waelewe, maana saa 7 mchana unamwambia mama unipe kile kidudu nikifanyie kazi. Atakujibu mchana wote huu haiwezekani. Mara nimetingwa na kazi, wakati hizo kazi zipo kila siku.

Ninachokifanya namtumia text kahaba mmoja tukutane kona Y namwaga halafu jioni kila mmoja alale. Jinga kabisa.
Sasa hapo anakuwa ameingiza maradhi mwenyewe
 
Exactly,kwa hiyo hayo uliyoandika yafanyike hayasaidii kitu... kama sio wako hata utoe figo kwa ajili yake hawezi kubaki

Kama mmependana mtaishi kama binadamu wa kawaida,haitakiwi kuwepo upande mmoja unaofanya jitihada nyiiiingi ili mahusiano yenu yadumu

Kumridhisha binadamu ni ngumu
Lakini humchekewesha kwenda coz ameshatumika.
 
Kosa ni kutaka kumbeba mtu ambae anaweza kujibeba!..

Wanawake unaozungumzia hapo ndo hawa wanakazi wanarudi wamechoka ataubinua sangapi..?
Anahasira za kufokewa na boss wake huko bado kikoba anadaiwa!.
Na vile mnavichwa vidogo kuhandle situation Kama hizo ni kazi kila mara mwajikuta mnahasira coz hamjui namna ya kuhandle hisia zenu!..
Ukimwambia binua binu ye anabinuka Kama ngamia ukimrekebisha anakuja juu..
Iko namna bora kabisa kumrejesha kwenye mood.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom