Hawa wanatafuta nin??? Ngoja wenyew waje

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Hiiii ndo definition ya death wish
1469341047343.jpg
 
Kwa hiyo kama ni watoto wa brigedia kwao ni ruksa sio acha dhana ya kuvunja sheria kisa babaako flani labda wanakibali hao madogo ama hawajui kusoma.
 
Hawa jamaa hawafai hata kidogo niliingia kambini na gari aisee niliaamrishwa nirudi kwa rivasi mpaka barabara kuu sitasahau hilo tukio
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hawa ni wanafunzi waliomaliza form 6 na wameenda jeshi ile ya hiari miezi 3. Kurutaz.
 
Back
Top Bottom