Naitamani Robo Fainali ya Mamelodi vs Yanga SC

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Kwa mpira huu ambao Yanga inacheza, mpira wa kufunguka na wa kujiachia. Nawatamani sana Mamelodi waje kufunguka pale kwa Mkapa katika Humidity ya 90 Degrees.

Binafsi nadhani Mamelodi ni wepesi sana, Kama walisumbuana na Wydad ambayo ilikuwa Unga kiasi kile basi kipimo chao sahihi ni Dar es Salaam Young Africans SC.

Hii yote kufanikiwa...

I WISH TUMALIZE NAFASI YA PILI, ILA KWA JINSI HAWA VIJANA WALIVYO NA SIFA UTAKUTA WANAENDA KUM'BONDA AL AHLY KWAO.
 
Sisi bado tunawatafuta waarabu waletwe wale wa Tunisia ndio mambo yatanoga..
Hii ni operation ondoa waarabu.
 
Dawa ni kuongoza kundi ili kuwakwepa Mamelod Robo fainali. Kwa hiyo, Al Ahly lazima afungwe kwake!!!
 
Uliwaomba ukaletewa, wakaoneshwa soka la mbinu, wakabebwa na mbeleko ya VAR wakapita zao kwenda nusu fainali.
 
Back
Top Bottom