Ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kilelen. sio rahis kihivyo

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,544
Wakuunduguzanguni

Sis wanaume weng tuko kwenye ulimwengu wa kuamin na kujiliwaza sana linapokuja swala la kuwafikisha hawa ndugu zetu kilelen.

Unless umemsoma vzur sana mwenza wako.. yaan umemjulia.

Nje na hapo aisee.. hata upige pampu vipi
Kama mahesab hayaja balance aisee.. atapata raha ila kilelen kufika hafik..

Nafaham kuna technique mbalimbal za kufanya.. wale watundu wa hii michezo huwa wanajarib na kuweza ...

Ila asilimia kubwa ya sis hatuwafikish kilelen hawa mabint na wao wameshazoea na ndo viumbe vinapiga sana puli hvi vibinti

Halaf sasa cha ajab kakipiga masta yaan hazipit dk 5 keshajifikisha kilelen mwenyew.

So kuna fumbo limejificha kwa hawa ndugu zetu.. na mpaka mwanaume ufumbue ndipo utaweza mfikisha.

Niwambie tu hata wanawake wenyew sometime hawajielew. Kama kafika au la

Hiv unafaham..(mfano mojawapo) mwanamke anaweza aka squirt na awe hajafika kilelen..na anaweza pia afike na asquirt.. na pia anaweza asisquirt na akafika..
So ni vtu kama hvyo. Vinachanganya (Uelewa)

Nin kifanyike:

Kuongea na mwenza wako ni muhimu sana.. yaan kuwen open nin kifanyike baina yenu.. ufanye nin afike etc etc.. na nin usifanye.

Note.. wanawake wachache sana wanafika kilelen kwa mikito peke yake.

AMINI KWAMBA.
 
Sipo hapa kukuaminisha hilo uliko wapo wengi tu unaweza jitafutia

1. Mwanamke kama hataki kumwaga huja kitu utafanya amwage
2.. Mwanamke kama hana hisia na wewe hata ufanyaje huwezi mkojolesha.

3. Mwanamke kama hayupo huru na wewe hasa wakati wa tendo kuna uwezekano wa 99% usimfikishe kileleni.
Maana wewe unaweza ukadhani ukimpelekea moto kwa haraka ndio anasikia raha kumbe unamuumiza mwenzio alitaka polepole. Haya kuna unampa polepole kumbe mwenzako anataka haraka haraka.
 
Kuna mtoto wa mamkwe kanibishia huko juu nikajiuliza huyu alishawahi kuwa na kvant nini? Ndo hivyo tuko tofauti na nyie kojo likija hamna control nalo ila sie waweza kaza na kilele kisifikike tuna uwezo mkubwa sana wa kutawala ngono iende tunavyotaka sisi
 
Back
Top Bottom