Hawa Wanaopiga risasi hewani posta ni kina nani?

Asante mkuu, nimeshafika home... ila wamepiga risasi mpaka police wa geti la BOT opp na mageraza wamejificha.

Chakusahangaza gari wanayotumia ni corola ipo chin kweli lakin hakuna police waliofata watu hao.

sasa ulitaka watumie gari gani?
 
Mkuu naomba uwafatilie mpaka watakapo ishia wakishuka wahoji hii nchi wao ni kama nani mpaka wanarusha risasi hovyo hewani"sisi kama wana JF tutakulinda!!

Acha kuwa kiponza alaf wakimshoot atapost wapi update nyingine kuzimu
 
Al quaeda,boko haram walianza kama panya road au mbwa mwitu wakikua mtajua tu swala muda

Jana tumepata stori kuwa watoto wa mbwa wamefunga mitaa huko kigogo, Kova na wenzake wapo kimya. leo tunasikia watu wanachezea bunduki bila woga, nina uhakika kova na wenzake hawatatoa neno! Halafu eti tunaambiwa tuwe wazalendo wa nchi yetu, uzalendo kwa upuuzi huu? ufisadi umetamalaki kila sekta, viongoz wanafiki, bungeni utumbo mtupu! nikipata zali nahama hii nchi, bakini na gunchi gwenu, now i hate this country.
 
Labda watoto wa mbwa mwitu wamepata mfadhili amewapa ak-47 sasa wanatamba
 
Wakatimwingine mimi nafikiri ukiwa na silaha unaweza ukaaznia Posta kufyatua risasi na kuua yeyote anayekatiza mbeleyako hadi Buguruni na ukapotelea huko mitaani bila ya kukamatwa.

Nasema hivi kwa sababu askari polisi wetu mara nyingi hushindwa kukabili matukio ya kushtukiza, mfano wale majambazi walioiba pesa benki Kariakoo wakiwa na kagari ka noah, Wale majambazi wa mataa ya ubungo ambao walitawala eneo lote kwa muda mrefu tu na polisi wakalala mbele isipokuwa askari trafik mmoja aliyejitolea kupambana nao, hata hivyo waliweza kuondoka eneo hilo bila shida yoyote.

sasa hata hao jamaa wangetaka kuingia ikulu huenda wangeingia bila upinzani wowote.

Polisi wanakuwa ni wepesi sana kwenye kuwapiga (hata kwa kuwafyatulia risasi) raia wasiokuwa na silaha yoyote. Lakini wakisikia mbabe anaungurumisha kitu kwakweli hutaona polisi hata mmoja kwa jinsi wanavyojua kukimbia na kujificha.
 
hao uliowaona ni jamaa wa makumbusho nadhani umenisoma next tym ukiwaona kaa pembeni wale hawana masihara
 
mkuu we pita tu uendelee na maisha hii nchi ina wenyewe...nilishangazwa na habari nilizozikuta arusha mitaa inaitwa Fire karibu na unga ltd, kuna majambazi yamezaliwa pale ( majina nayatunza),na yanajulikana mpaka central lakini hakuna wa kuyafanya kitu. Kuna binti alibakwa relini pale, akaenda kusema kwao kuwa kawaona waliombaka wameelekea nyumba gani, baba yake akaongozana naye kuwajua kufika akakuta ni wale jamaa, alichofanya eti akawauliza ,'nilikuwa nauliza njia ya kwenda kwa balozi'...hakuthubutu hata kuhoji walichomfanya mwanae, ukienda polisi wanawakamata, next day wako nje alaf wanakutafta na kukupiga mpaka ufe...hii nchi ni ya tofauti!! Alaf pakitokea msako ikajulikana wezi wamekimbilia sehemu flani ,then polisi uenda fire kuwakodi hawa majambazi ili wakawakamate hao wengine, yani ni vituko duniani!!mmoja wao kamuoa dada wa jamaa aliyenipa habari, eti kamuoa kwa nguvu/lazima na kawataadharisha siku akikimbia ataenda kwao na kuwaua wote...uyo binti akirudigi tu home kusalimia wanamfukuza arudi kwa mmewe haraka isije kuwa shida, vyombo vya usalama angaika na hawa watu jamani, ni hatari katika jamii!!
 
Bongo movie walikuwa wanaigiza movie itatoka hivi punde.
 
weka majina yao hapa na picha vinginevyo na wewe unachangia kuwalea!
 
Wakuu nilikuwa nimeongozana na gari white corola namba nimeshindwa kukalili vizuri, wamefika maeneo ya ubalozi wa Zambia wameanza kurusha risasi hewani kama wehu vile yani wanatamba tu mpaka maeneo ya BOT mwisho wakaingia njia ya kitega uchumi na kuendelea.

Hakuna hata police wa kuwafuata.

Sijui ni wakina nani wanatamba hivi karibu na ikulu na BOT!!

Kova uko wapi?

=kukariri
 
mkuu we pita tu uendelee na maisha hii nchi ina wenyewe...nilishangazwa na habari nilizozikuta arusha mitaa inaitwa Fire karibu na unga ltd, kuna majambazi yamezaliwa pale ( majina nayatunza),na yanajulikana mpaka central lakini hakuna wa kuyafanya kitu. Kuna binti alibakwa relini pale, akaenda kusema kwao kuwa kawaona waliombaka wameelekea nyumba gani, baba yake akaongozana naye kuwajua kufika akakuta ni wale jamaa, alichofanya eti akawauliza ,'nilikuwa nauliza njia ya kwenda kwa balozi'...hakuthubutu hata kuhoji walichomfanya mwanae, ukienda polisi wanawakamata, next day wako nje alaf wanakutafta na kukupiga mpaka ufe...hii nchi ni ya tofauti!! Alaf pakitokea msako ikajulikana wezi wamekimbilia sehemu flani ,then polisi uenda fire kuwakodi hawa majambazi ili wakawakamate hao wengine, yani ni vituko duniani!!mmoja wao kamuoa dada wa jamaa aliyenipa habari, eti kamuoa kwa nguvu/lazima na kawataadharisha siku akikimbia ataenda kwao na kuwaua wote...uyo binti akirudigi tu home kusalimia wanamfukuza arudi kwa mmewe haraka isije kuwa shida, vyombo vya usalama angaika na hawa watu jamani, ni hatari katika jamii!!
Yuko kinondoni mkwajuni analinda pikipiki, akamatwe basi tuone,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom