frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wakuu nilikuwa nimeongozana na gari white corola namba nimeshindwa kukalili vizuri, wamefika maeneo ya ubalozi wa Zambia wameanza kurusha risasi hewani kama wehu vile yani wanatamba tu mpaka maeneo ya BOT mwisho wakaingia njia ya kitega uchumi na kuendelea.
Hakuna hata police wa kuwafuata.
Sijui ni wakina nani wanatamba hivi karibu na ikulu na BOT!!
Kova uko wapi?
Hakuna hata police wa kuwafuata.
Sijui ni wakina nani wanatamba hivi karibu na ikulu na BOT!!
Kova uko wapi?