Hawa wanafunzi wanafikiria nini?

Hawa wanafunzi wanafikiria nini?

mabomu

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
43
Reaction score
7
wape ushauri basi!
 

Attachments

  • wanafunzi.jpg
    wanafunzi.jpg
    37.8 KB · Views: 526


Wanafikiria maisha mapya baada ya masomo haya kuyamaliza.
 
Wanafikiria jinsi ya kuvuka vikwazo vya Fataki watakaporudi uswahilini.
 
Ni vigumu kujuwa wanachowaza haswa, labda nami nijaribu kubuni wanachowaza. wanawaza kwanini CCM inewatelekeza na je hatma ya maisha yao itakuwaje?
 
Kupata kwako Mimba ni uzambe ulioufanya wewe, enzi zako, hizi ni nyakati nyingine kabisa, kumbuka kiza zama na wakati wake.
 
Wanawaza jinsi watakavyopambana na maisha mapya.
 
Back
Top Bottom