Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
mimi ndio naweza peke angu
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .
Mkuu siyo kanuni ni Katiba ya JMT ambayo inataka PM atokane na chama chenye wengi.
Magufuri hafai hata kidogo

Mzee wa mvi za busara, Edward Lowassa ndio anafaa peke yake.
Mkuu siyo kanuni ni Katiba ya JMT ambayo inataka PM atokane na chama chenye wengi.
Hivi yule mama wa Same mbona kimya sana kunani?au kishakabidhiwa mgao wake kama enzi zile za akina MZINDAKAYA?mpaka akapigwa kufuri la kudumu?
We umezaliwa lini?Ni wazo zuri lakini Kikwete anataka mawaziri vihiyo watakaolinda maslahi yake. Magufuli atamnyima raha Kikwete kutokana na yeye kuwa na uchungu na nchi wakati rais hana. Kikwete yuko pale tu kula nchi na kuuza sura inayojaa simanzi kila kukicha.
Magufuli nae ni fisaddi papa tu! Tumrudishe Lowasa tu kwa kweli
Aggrey Mwanri ndie anaefaa..
Huyu jamaa huwa anaongea mpaka anataka kulia kwa kuwaonea huruma watz.
We umezaliwa lini?Ni wazo zuri lakini Kikwete anataka mawaziri vihiyo watakaolinda maslahi yake. Magufuli atamnyima raha Kikwete kutokana na yeye kuwa na uchungu na nchi wakati rais hana. Kikwete yuko pale tu kula nchi na kuuza sura inayojaa simanzi kila kukicha.
Nani kakudanganya kwamba magufuri anauchungu na nchi?hivi mwenye uchunguzi na nchi anaweza kuuza nyumba ya serikali yenye thamani ya zaidi ya 1bln kwa 12m tena kwa demu wake?
Acha hizo na tafadhari tuombe radhi.Otherwise nenda kaoge ukojoe ulale na kesho asubuhi kawahi kuchukua maziwa ya bili ili uchemshiwe uji unywe ukue vizuri ok?hapa tuachie ss tunaowajua hawa mapapa!