Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

CCM THE HAVE TO SEND BACK lOWASA HE CAN AU MNASEMAJE?

janga lingine bora hili tulilolizoea, we unafikiri wakati wa kurudisha hizo hela anazozitoa huko makanisani sisi wananchi wa hali ya chini tutakuwa kwenye hali gani?
 
Mpeni Riziwani Jakaya Mrisho Kikwete. Ni kijana, damu bado changa na atapata ushauri kutoka kwa mshua.
 
Pole sana kwa utafiti wako finyu.Kama wamekutuma kupima upepo basi waambie upepo uvamao sasa ni wa Kusi, ukivuma kutokea mashariki kuelekea Kusini.Inshort Magufuli does NOT FIT and will never fit to become a PM.Ni mtu wa jazba na visasi vya kike na zaidi ya yote ana maamuzi ya kukomoa na kukurupuka.Amejaa kejeli na kauli chafu zisizo na utu.HAFAI.Sitta ni mnafiki,amepoteza sifa baada ya kuficha ukweli ktk sakata la RICHMOND.Kwa hili hasafishiki kamwe hata akinywa sabuni ya OMO.:target:

Mbona hizo sifa za magufuli ulizozitaja hapo niza jk isipokuwa kutoa maamuzi ya kukomoa
 
Kwa sasa na hata miaka ishirini ijayo hapawezi pakawa na mtu ndani ya CCM anayeweza kusimamia uendeshaji wa serikali kwa ukamilifu wake bila mapungufu. Kimsingi kuna ombwe la uongozi ndani ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa kumuondoa Pinda au hata mawaziri wote bado hilo siyo suluhisho la matatizo yanayotukabili, hebu fikiri kuna tatizo katika injini ya gari halafu unataka kulitatua kwa kbadili ring moja, sizani km utakuwa umetatua tatizo, cha kufanya ni kubadili ring zote pamoja na valve. Kwa hiyo 2015 tupige kura zetu kubadili uongozi mzima na tulinde kura zetu hilo ndo suluhisho na sio Pinda kuachia ngazi ama vinginevyo.
 
Ila ktk suala zima la kumuandama pinda kuna utata umejificha, nani anayewateua mawaziri? kama mawaziri wanateuliwa na rais iweje wawe accountable kwa waziri mkuu? pili waziri mkuu ana nguvu ya kuwavua uwaziri hao watuhumiwa? je wametajwa hao mawaziri wanaounder perform ili public iwajue waziwazi?
 
Naunga mkono swala la mfumo wa uongozi wa CCM ni mbovu kiasi hata wakimpa yeyote mnaeyemfikiria bado mambo ni yaleyale. Cha msingi ni kubadilisha mfumo na kuondoa utitiri wa warasimu kwenye utendaji. Mawaziri wawe ni wataalam na si wanasiasa kama sasa hivi, hali iliyofanya hata makatibu wakuu wa wizara nao wamekuwa ni wanasiasa na makada.
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .
I did not expect you would look for "fish" in a basket where a roten "fish" was picked. Look somewhere else if you need a change.
 
i don't believe sitta and magufuli will do anything different, the whole system haifai, kazi tuliyonayo si ya kupendekeza individuals ila kuweka utawala wa wananchi hapo 2015
 
Back
Top Bottom