Hawa wana mapenzi ya kweli....


Angalia usije ukawasababishia usumbufu watu bure, kwasababu wataanza na hao wenye mgahawa kuangalia kama wanalipa kodi sawasawa, pili hao ngozi nyeupe watafutiliwa kama wamefuata taratibu zote za uhamiaji na viza zao zitakapokwisha wasikanyage tena nchini maana ni wachochezi....lol
 
hao ni chadema damu ila walitoa rushwa kwa utawala ulio[po kuingia na kuishi nchini.
 
Nimeelewa sasa,nilidhani mambo ya cameron.
 


money talks!😛oa
 

teh teh teh kweli hawashindwi kuwafanyia hivyo!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…