Hawa walinzi wa amani hawatachakachua hizi hela?

Hawa walinzi wa amani hawatachakachua hizi hela?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
hapa wanausalama wakihesabu pesa walizozikuta kwenye mwili wa marehemu enock huku wananchi wakisimamia kwa makini zoezi hilo la kuhesabu hizo hizo pesa zaidi ya shilingi milion 15 alikuwanazo marehemu
 

Attachments

  • ajali.JPG
    ajali.JPG
    47.4 KB · Views: 172
hapa wanausalama wakihesabu pesa walizozikuta kwenye mwili wa marehemu enock huku wananchi wakisimamia kwa makini zoezi hilo la kuhesabu hizo hizo pesa zaidi ya shilingi milion 15 alikuwanazo marehemu

Ukimaliza kuhesabu pesa huwa unakua na jibu kamili kabisa juu ya kiasi, zaidi ya shilingi milioni 15 inaweza kuwa kuanzia milioni 15 na shilingi moja na kuendelea (to infinity)...! Yaani haina mwisho!

Sasa huwa napata shida sana ninapotajiwa figures ambazo zinakua ni kama makadirio wakati naelewa hakuna ulazima huo maana hesabu ya pesa alizokuwa nazo ina mwisho. Uchakachuzi huanzia hapo.
 
Ndo nani Enock?

Bwana mmoja amepata ajali kwenye basi ya NGAGA akitokea Mbeya na inasemekan alikuwa na pesa taslimu milioni 13,kutokana na maelezo ya mkuu wa polisi Mbeya.
 
Kwanini mtu anatembea na pesa zote hizo....
 
Wananchi wameonyesha uungwana sana. Kwa kutowaibia waanga wa ajali hii. naomba wananchi sehemu nyingine waige mfano huu ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom