ELFU-ONEIR
Senior Member
- Jun 27, 2012
- 181
- 64
Kamueni mwaya! waacheni waseme mwisho watachoka, mikandamizo inaendelea. Niwaletee ile kitu yenye miguu/matairi madogo kama Noah?
Kwani kila aliyevaa hijabu ni muislamu au amefunga? Kipindi hichi hata wakristo wanavaa hijabu.