Hawa waliga kuwa wamefunga sasa nini kimetokea

Hawa waliga kuwa wamefunga sasa nini kimetokea

ELFU-ONEIR

Senior Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
181
Reaction score
64
DSC00001.JPG


SOURCE.: HABARI ZA MITAA: IMANI MAJARIBUNI
 
Wengi wanajidanganya kuwa wanafunga kumbe kiukweli ni kwamba wanashinda na njaa!!
 
Kwani kila aliyevaa hijabu ni muislamu au amefunga? Kipindi hichi hata wakristo wanavaa hijabu.
 
bora aliejiachia mpaka wewe kumfotoa umejitolea kwelikweli mboni kama wanachuo dizaini hivi...
 
Kama wako kwenye siku zao, au wasafiri au wagonjwa, unajuwaje?
 
Hamjui kama wanawake wana siku wafungi? msikurupuke
 
inawezekana wana sababu maalumu za kufungua,,,,labda ni wagonjwa na hapo ni canteen ya hospital
 
Kwani kila aliyevaa hijabu ni muislamu au amefunga? Kipindi hichi hata wakristo wanavaa hijabu.

wacha uongo wewe siku zote huwa mnatafuta sababu ya kukwepa hoja? picha inajieleza wewe unaleta za kuleta eti hata wakristu huwa anavaa hijabu. kubali hatw uarabuni ieinge kuwa ni sheria ya nchi kuwa mwezi wa mfungo lazima mahoteli yote ya fungwe na ukionekana unakula sehemu ya wazi ni kosa kisheria, ni watu wachache sana wangekuwa wanafunga.
 
Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani...wameshindwa kuwa wavumilivu!!kweli kuingia mbinguni siyo rahisi kiivyo!
 
Back
Top Bottom