Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 59
Duh page 7 stori karibu zote na wote waliotajwa humu ndani nawafahamu na zingine nimeshiriki, yep si utani wengi humu ndani tunafahamiana bila shaka...
Kifupi:
1. Rhymson sasa hivi anaitwa Zavara Mponjika anaishi Iringa na mkewe na watoto (4 boys)
2. OJ katulizwa kwenye "chuo cha mafunzo" huko Texas
3. KBC alikuwa somewhere in Alabama mara ya mwisho namsikia alikuwa amerekodi na "Fawty Acres and a mule" sijui matokeo
4. Heri Carlos nilikutana naye mwaka jana pale Salamander, anaendelea na biashara yake ila ndio vile
5. Carl Lewis huko hapo NYC
6. Duh kuhusu Tambaza, Pazi, Vijana, USIS, Clouds, coco beach, 7th Floor, Motel Agip, poolside, videos za ITV za rappers enzi hizo, dili za safari, upanga, obay, masaki, ursino, makongo, uswazi temeke wailesi, tandika davis corner, mwananyamala komakoma, yaani hata sijui nianzie wapi niishie wapi...tupo brazameni usione kimya tunalalamikia Buzwagi na siasa kwa saaana ukadhani ndio vile...
basi siku hizi kuna sehemu zinaitwa,kigilagila lumo,kiembe mbuzi,mwembe sindimba,kilamba nyoka,mtampwimpwi basi ni burudani tu ya meno na ulimi.
masakani yangu ilikuwapale empressi
nyani ngabu,
made ipo pale kinondoni muslimu unaingila pale karibu na langata,je unaijua buibui guest house,alafu ipo nyingine sikumbuki jina ipo kwa ndani kidogo na kinodoni makaburini unaingia kushoto kama umetoka mjini,je na ikweta bar unaikumbuka ?
Next to empress cinema ndo ilikuwa American Center enzi hizo za ABC news with Peter Jennings...
wadau mnakumbuka pale kwa kajange,hivi bado yupo yule jamaa
Stringer what is this turning to now? 1-800-GET-INDICTED-ONLINE?
U sick son, sasa credit card feki si serious fraud mazee huogopi kunyea debe?
brazamen unapakumbuka dengubeach ?
unamaana hao usalam wa Taifa watanitafuta kwa ajili ya credit cards?
man those guys are bussy na akina Zitto, that said ebwana nimepost thread ya THE WIRE kule burudani naona wote mko kimya..ndio maana nasema kuwa mimi niko mbali sana na nyie bwana sasa inamaana hamuna Cable au vipi?
DAR si LAMU, Sura-ya-Kwanza, Mwakilishikimya chenu kinatisha
Stringer watu hawana muda wa kusubiri HBO wana Netflix na ku-Tivo sio lazima tuende na season.Mambo ya user controlled entertainment sio mpaka usubiri HBO wanataka kukuletea nini, lol.
Nilikuwa nafuatilia Rome nikashindwa season ya kwanza, season ya pili nimechukua box set hata sijaiangalia, maisha kaka watu wanataka ku-conquer the world kama Napoleon lazima kujifunga mkanda.
Nani amekula chipsi kwa Shirima pale Upanga karibu na Shaaban Robert?