Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Mimi kama raia huru wa nchi yangu Tanzania. Tupo na majirani wengi tu katika nchi yetu.
Hawa wakenya sio rafiki wazuri kabisa lengo lao ni kujinufaisha nchi yao pekee.
Naishauri serikali yangu tukufu, hawa sio wa kuchekea hata kidogo.
1. Lipite rungu kwenye makampuni na mashirka kusafisha hawa nyang'au. Tuanze upya na vizuri.
2. Wamekuja na mbinu mpya ya kuoa watanzania na hatimaye wanajipatia ardhi kwa mgongo wa watazania. Baada ya mda wana vunja ndoa na kujipatia ardhi.
3. Wanapewa pesa na nchi yao na kuja kununua watu tanzania ili wajipatie rasilimali zetu kilaini.
4. Naomba serikali iwawezeshe vijana ili waondokane na wimbi la kutumiwa na wakenya.
5. Lazima tuwe makini na makubaliano tunayoingia nao hawa watu. Malengo yao sio mazuri kwa nchi hii ya ahadi.