Hawa Waganga watatumaliza

Hawa Waganga watatumaliza

hv kunawatu wanaamini hizi maneno!!!!!!1
 
Haya mnaotaka kujiunga na Freemasons kazi kwenu, fomu zinapatikana hapo
 
kudhibiti hawa jamaa na vibango vyao, wangeambiwa walipie kode tu, namba ndio kama hizo hapa, halmashauri jamani vyanzo vya mapato tu hivyo.

kumbe kuwa freemasons, mpaka upitie kwa mzizi mkavu, hii kweli kiboko, na utakuta wajinga wengi tu watapanga foreni hapo usiku.
 
kuna mataira wengi wataenda.
 
Wajinga ndio waliwao

Sasa kujiunga na Free Massonry ni Ugonjwa unaohitaji Tiba?????????????????
 
ilibidi hayo mabango wayalipie kodi yangepungua............hafu hao waganga wanataka waboreshe maisha yako wakati wao wenyewe maisha yao ya dhiki mbaya.
 
Hivi kwa nn tusimtie ndani huyu? Ama kweli Demokrasia isiyo na mipaka ni WENDAWAZIMU!
 
Kikwete angalia watu wako hawana ajira.ama kweli maisha bora
 
hahaha, kujiunga na freemasons kunawekewa matangazo siku hizi...!!!!
 
duh..hizi imani nyingine bana hatari sana..ndio maana takwimu zinadai 35% ya wabongo si wakristo si waislam ila kiukweli ni miongoni mwa dini hizi ila pia ni waumini wa haya mambo
 
Free Mason nao ni ugonjwa unaohitaji tiba ya mganga wa Kienyeji?
 
Back
Top Bottom