Hawa Waganga watatumaliza

kudhibiti hawa jamaa na vibango vyao, wangeambiwa walipie kode tu, namba ndio kama hizo hapa, halmashauri jamani vyanzo vya mapato tu hivyo.

kumbe kuwa freemasons, mpaka upitie kwa mzizi mkavu, hii kweli kiboko, na utakuta wajinga wengi tu watapanga foreni hapo usiku.
yalaaaaaaaaaaaaa:A S 13::A S 13::A S 13:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom