Hawa wachezaji mbona wanamfanyia refa wa kike uhuni?

Hawa wachezaji mbona wanamfanyia refa wa kike uhuni?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267

Damaris+Kimani+px.jpg


Referee Damaris Kimani makes a tough call during the tense clash between Gor Mahia and Thika United at the City Stadium on November 10, 2012.


​
Cheki hio njemba iliopo hapo nyuma...mmmmh?????
 
Huyo wa nyuma hiyo concentration siyo ya kawaida. Anaweza kuachia hapo muda wowote.
 

Damaris+Kimani+px.jpg


Referee Damaris Kimani makes a tough call during the tense clash between Gor Mahia and Thika United at the City Stadium on November 10, 2012.


​
Cheki hio njemba iliopo hapo nyuma...mmmmh?????

Halafu jamaa anaonekana anaenjoy kabisa!!!!
 
Halafu jamaa anaonekana anaenjoy kabisa!!!!

Mzee wa Rula hujambo,

habari za kuadimika aisee?

cheki hio njemba nayo iliopo hapo mbele...huo mkono unaashiria wapi tena?...lol

...ndo maana Gor Mahia walishindwa kuchukua ligi kuu...:becky:
 
Hawafanyi jambo lolote baya hapo! Kama picha ingeonyesha hadi miguuni, bila shaka huyo wa nyuma angeonekana anauvuta mpira kwa mguu, na wala si dhamira yake kumgusisha dudu lake refarii wa kike. Na huyo wa mbele amenyoosha mkono tu kulalamika lakini ukiangalia vyema, utagundua ni layers tu za picha na kuna distance fulani kati ya mkono wake na hapo mbele kwa refarii! Wewe Ab-tichaz wewe, acha kugonganisha marefa na wachezaji ! :becky:
 
Tabia za kipuuzi michezoni ni za kukemea. Huyu wa nyuma yawezekana anafanya kitu tofauti na tunachoona lkn ni kweli hana akili ya kujua kuwa si nidhamu kumkaribia huyo mama kwa namna ile?

Sheria kali ziwekwe kuhusu kuwazonga waamuzi, manake kwa hali hii, sidhani kama mume wa huyu mwamuzi na familia yake wanafurahia, achilia mbali yeye mwenyewe.

Na hapa JF tuache kutoa maoni ya kipuuzi. Tunatofautiana umri na ufahamu, wengine kwao wataona haya ndio mafunzo stahiki kuyashikilia yawaongoze maishani
 
Ebwana kaka hii kali ya mwaka aiseeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,kama waweza Dumbukiza kwenye website ya FIFA
 
DU KWELI MBUZI MZEE HUSHIKIKI. HIVI KUNAKITU WANACHOPOST JF HUNA REFFERENCE YAKE! Sina neno na huyu oldgoat
 
Back
Top Bottom