Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 43,532
- 108,790
Natazama East Africa Television.
Mbunge wa Bukene Tabora Mh:Suleiman Jumanne katika maelezo ametamka neno Mrabaha, badala ya Mrahaba.
Kosa kama hilo lili fanywa na Mh: Naibu wa Nishati na madini ktk kipindi cha dakika 45 ITV.
Ninyi waheshimiwa, mnawachanganya wapigakura wenu na watanzania kwa ujumla.