Hawa vipi wamerogwa Au !!?

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,799
2,000
Jarida la soccer nchini Brazil (placar) limemtaja Neymar kama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya soccer la Brazil baada ya nguli Pele

.Aidha mourinho amelipinga jarida hilo nakuwataja ronaldo de lima na rivaldo kwamba ndio wanaostahiki heshima hiyo

May take ===NAULIZA TU WAKUU HIVI HIYO KAMPUNI INAYO LICHAPISHA HILO JARIDA IMEROGWA AU WAMEKULA MAHARAGE YA WAPI "? ...

.hivi kweli neymar ni wa kumuweka kwenye hilo daraja " kabisaaa kisha wakamuacha mtu kama ronaldinho. Rivaldo .ronaldo .kaka. garincha na manguli wengine wengi waliotangulia ''..... huyu neymar wanaye mpa hizi promo hajawahi kuufikia hata uwezo wa ridondo ijapo kuwa ridondo hakuwa raia wa Brazil
FB_IMG_1550494928279.jpeg
FB_IMG_1550494932174.jpeg
FB_IMG_1550494938505.jpeg
FB_IMG_1550494935540.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom