Hawa vipi wamerogwa Au !!?

Wasitake kutudanganya hao mbuzi, kila mtu ana macho anaona.

Neyma hata sioni kama anamfikia Kaka'. Hilo jarida litakuwa ni Tanzanite version ya Brazil.
 
Wamechemka,ata kwa uwezo wa enzi za Jorginho,Cafu bado Neymar atasubir sana ..kuna kifaa kilikuwa Deportivo la Coluna Mauro Silva Galvao bado Neymar atasubir sana..
 
Yaani wameni shangaza. Hawa jamaa sijui wamerogwa " Au wana dhani kwamba wadau wa soccer hatujielewi..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa vyombo vya habari mkuu cha msingi hawamtukani mtu kama unakumbukumbu nzuri kuna mchezaji wa kibongo ameshawahi kufananishwa na king Messi
Neymar ni top class player lakini hastahili kuwa mchezaji bora wa muda wote wa Brazil si kwa Takwimu wala udambwi udambwi
 
Mkuu hawa jamaa sijui wamekula nini !? Hata kama ndio uhuru wa vyombo vya habari lakini uhuru huu unawafanya waonekane mataahira sasa " maana wanautumia huo uhuru vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamechemka,ata kwa uwezo wa enzi za Jorginho,Cafu bado Neymar atasubir sana ..kuna kifaa kilikuwa Deportivo la Coluna Mauro Silva Galvao bado Neymar atasubir sana..
Mkuu hii takwimu yao hata TWAWEZA hawawezi kuthubutu kuichapisha aise ... hata shigongo na magazeti yake ya udaku hawezi thubutu kufikia kiwango hicho cha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom