Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,420
- 1,738
Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.